An Noor Community Centre
-Madrassatul Noor Leicester-
مَدْرَسَةٌالنُّوْرِلِسْتَرْ
INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAJIOON
An Noor Community Leicester, kwa niaba ya familia ya Abdallah Shamuni,
Yusriyah Yussuf na Yussuf Mussa wa Leicester, UK, kwa majonzi inakupeni
taarifa ya msiba wa MAMA YAO mpenzi kilichotokea Leicester alfajiri ya JUMANNE tarehe 11-09-2012.
Mazishi yatafanyika siku ya Alhamisi 13-09-2012 baada ya Sala ya Adhuhuri
katika makaburi ya Saffron Lane, Leicester.
Anwani ya makaburini ni Stonesby Avenue, Leicester, LE2 6TY.
Kinamama na kinadada wanaotaka kujumuika katika msiba wanakusanyika katika anwani hii:
200 Humberstone Lane, Leicester, LE4 8HH.
Kwa maelezo zaidi tafadhali piga simu
Abdallah Yusuf (Shamuni) +44 7946727287
Twamuomba Allah Taala awarehemu marehemu wetu wote, Amin



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...