SEMINA YA KINABII KWA WACHUNGAJI NA WAUMINI WOTE WAISHIO DODOMA
MHUBIRI: BOB WATSON TOKA USA NA TIMU YAKE.
TAREHE: 8/11 MPAKA 10/11/2012
MUDA: SAA NNE ASUBUHI MPAKA12 JIONI KILA SIKU
MAHALI: KATIKA KANISA LA HEMA LA UPAKO LILILOPO; MAILI MBILI, HADO
WAANDALIZI; MCHUGAJI ISAYA GWAE AKISHIRIKIANA NA JUMUIYA YA WACHUNGAJI DODOMA.
WOTE MNAKARIBISHWA.
ASANTENI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...