Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika.

Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Berlin.

 Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa.
 Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana Mkatana na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya Mkataba huo kusainiwa.
 Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba.
Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akijiandaa kusaini Mkataba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera kwa Mkataba huu!

    Ni wakatu muafaka sasa yule Mbuni wetu aliyeshindwa kuruka kwa mbwawa zake (ATCL) akabidhiwe kwa Babu yatu (Mjerumani) Mtawala wetu wa Ukoloni mwanzo kabla ya Baba (Mwingereza)Mkoloni wetu wa pili.

    Ujerumani wanaongoza kwa shughuliza usafirishaji wa Abiria na Mizigo Duniani.

    Shirika lao LUFTHANSA ni moja ya Mashirika mahiri sana na kongwe la ndege duniani ktk usafirishaji wa abiria na mizigo.

    Idadi kubwa ya Mizigo ya Mamlaka kama US Army na NATO husafirishwa na Mashirika ya mizigo ya ndege ya Kijerumani.

    Kwa nini mzigo mzito kwetu kama huu wa ATCL asibebeshwe babu yetu Mnyamwezi (Mjerumani) ???

    ReplyDelete
  2. Jeremani namkubali sana ktk usimamizi wa kazi zaidi ya Mzungu yeyote mwingine!

    Jeremani hana mchezo ktk kazi, kama huamini waulize waliwahi kufanya kazi hata za vibarua chini ya wasimamizi wa Kijerumani wakueleze mziki wao hawa watu.

    Kwa hapa kwa kweli tumepiga bao!

    ReplyDelete
  3. HONGERA KWA MKATABA HUU:

    Ikiwa tunao usemi usemao ya kuwa 'Mzigo mkubwa abebeshwe Mnyamwezi' hivyo na pia 'Mashirika sumbufu nchini Tanzania na majukumu yetu mazito kusimamia akabidhiwe Mjerumani' !!!

    ReplyDelete
  4. Another good work by Mwakyembe.

    Mashaka, well done for a well-crafted and balanced analysis on Hon. Zitto personal attack to Hon. Muhongo.
    Sooner we shall find out openly what ZK is up for & he shall never win the battle against good intentions of Prof. Muhongo, whose walk stands for public interests.

    When Dr. Muhongo tried bravely to take action of cleaning the mess from TANESCO’s Muhando and the group, Zitto-the POAC Chairperson started defending this corruption. Where was his ‘transparency’ then?

    When Dr. Muhongo gives bold and clear directives to the newly elected Board Members of TPDC on overseeing and assessing different existing contracts, the POAC Chairman calls it a political stunt & flip flopping.

    Wengi wetu tunawafahamu hawa wawili; kati ya Mwanasayansi Mwadilifu Prof. Dr. Muhongo na Mwanasiasa kigeugeu Zitto; Zitto ni flip-floper wa karne 21 aki flip flop kati ya Mafisadi na Wapiganaji na flip -floper kati ya CCM & CHADEMA.

    l just conclude warning Zitto as once, a respected Raban Gamaliel of the Sanhedrin said, "if it be of men, it will come to naught, but if it be of God, ye will not be able to overthrow it; lest perhaps ye be found even to fight against God"

    ReplyDelete
  5. Bwana mjerumani pure alietawala Tanganyika hayupo sasa hivi anayetawala sasa ni mjew. Hawa wote ni Wayahudi wanaingia left right and back , front and centre. Tutabanwa mpaka pumzi tutashindwa kupumua.

    ReplyDelete
  6. http://www.bmvbs.de/EN/Home/home_node.html

    ReplyDelete

  7. nyamwezi, ndiyo maana Magufuri pia anafanya vizuri maana ni Mnyamwezi-kabila hili haki ya nani !!! walai ! angalieni barabara la morogoro ( road) linavyosukwa -ukilinganisha na takataka za mchina.Kingine , !!!! eti tenda ya reli ya kati alipewa Mhindi !!!!! ha ha ha !!!! kama siyo ufisadi ni nini ????,kulikuwepo na mcanada, msauzi, mjerumani n.k lakini eti kapewa Mhindi=sawa bwana , wajinga siye.Mungu yupo na anaona tunavyoibiwa bila huruma,lakini wapo sasa wenye huruma na nia njema ya kuweka nchi kwanza ,matumbo yao baadaye kama kina Mhongo,Magufuri,Mwakyembe. Na wengine wengi bado wanasoma. Tanzania will be heaven one day .Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...