Sehemu ya maaandamano yakiwa na mabango mbalimbali kwenye sherehe  ya kumpongeza Aliyekua Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa Dk  Asha rose migiro, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana
 Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro akisalimiana na baadhi ya wanachama wa UWT waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
 baadhi ya kinamama na wanachama wa UWT wakipita wakiwa na zawadi mbalimbali za Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Dk Asha Rose Migiro kwenye sherehe ya kumpongeza Dk Migiro kwa kumaliza muda wake wa utumishi salama umoja wa mataifa jana
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera mama na karibu kwenye libeneke najua unalimudu!

    ReplyDelete
  2. Nafikiri Mama Migiro Angeingia kwenye Kinyang'anyiro cha Ugombea Urahisi jamani, Anaweza Kuleta changes kubwa sana Tanzania. Alafu hana Kashfa kama ndugu zetu wengine wa chama chetu cha Nape. Wanawake wapeni nafasi jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...