Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kulia) akizungumza na watangazaji maarufu wa Kampuni ya Super Sport ya Afrika Kusini, Thomas Mlambo (kushoto) na Thomas Kwenaite wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuanza kwa majaribio kutangaza baadhi ya michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom nchini katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Mtangazaji wa Super Sport, Thomas Kwenaite (katikati) akiwahoji Makamu Mwenyekiti wa Simba, Abdalah Nyange 'Kaburu' na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako
Tenga akisalimiana na Mtangazaji wa Super Sport Tanzania, Kaijage alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Veute
Meneja Mkuu wa Multchoice Tanzania, Peter Fauel akizungumza wakati wa hafla hiyo
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Bi. Furaha Samalu akiiwa na watangazaji wa kipindi cha Africa Soccer Show wakati wa halfa hiyo.
Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Venter, akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo
wATANZANIA WATANGAZAJI WA Super Sport kwa kiswahili Florian Kaijage (kushoto) na Ndimbo wakiwa katika hafla hiyo
Meneja Uhusiano wa Multchoice Tanzania, Barbara Kambagi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wenzie .


Hii kitu safi,mwanzo mzuri.Wachezaji wetu tumieni hii nafasi kuonyesha vipaji vyenu duniani.Mtaonekana sehemu nje ya mipaka ya Tanzania.
ReplyDeleteDavid V