Rais Barack Obama wa Marekani akiwa amekumbatiwa na kunyanyuliwa juu na Mmiliki wa Duka moja la Pizza,mjini Frorida Marekani alietambulika kwa jina la Scott Van Duzer ikiwa ni furaha kwa kumuora Rais Obama katembelea Dukani hapo.
Rais Barack Obama wa Marekani akifurahi na mtu huyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Aroo poti rikamate iri rimjamaa iritaandike bomu kwa kumpiga mwereka rais!

    ReplyDelete
  2. nzuri!

    kumbuka ni kipindi cha kujichanganya na ku_socialize. he is looking for returns.

    poa sana.

    ReplyDelete

  3. Mapenzi ya ukweli.

    ReplyDelete
  4. Predent Obama, that,s so dangerous, I would not encourage it next time, because enermies can take advantage of you simplicity to harm you anyway.

    ReplyDelete
  5. This is what makes this human being electable, because he is likable, and just a typical human being not a stereotyipical politicians who live a sort of a structured, humourless life style. And if Obama see you, he see a human being, not a human vote!!

    Obama for 2012!!

    ReplyDelete
  6. imekaaje ki vipi sasa, nini cha ajabu hapo ??? au ushamba tu. pia hilo siyo duka ni mgahawa wa PIZZA kapita hapo kuomba kura. zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  7. Hii imetulia sana...ni hisia za kweli ziszo na unafikia ndani yake...President of the World

    ReplyDelete
  8. jamani huyo zebedayo anatakiwa apewewe tuzo kwa kutoa comments michuzi next time wanavyotoa tuzo za bloggers naomba na kipengele chake kiwekwe it seems hana kazi huyo aje wall street apewe kazi

    ReplyDelete
  9. ila secret servce walisha advance kwenye tukio kabla ya jamaa hajafika .Lazima huyo jamaa alifanyiwa vetting kabla ya kuruhusiwa kumbeba rais.

    ReplyDelete
  10. they call it bromance...kitu cha kawaida hicho.

    ReplyDelete
  11. Usalama. wenzetu hao wapo makini sana na kazi zao hawa hali ilishawekwa sawa kabla. sio sisi tukurupuke siku hiyohiyo na mbwa, farasi, mibunduki ya kivita na mabomu ya machozi hadi kuua. yawezekana na ndio kozi zinazotolewa siwezi jua about usalama wa bongo. Hatupo makini na usalama wetu ndio maana w2 wanashangaa kisa hiki. Hii ilishaandaliwa! Obama,Kula pizza mwayegowe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...