Padre Kalaso (kati) wa Kanisa la Familia Takatifu Parokia ya Ipuli, Tabora, akishuhudia Bwana Allen Munene akimvalisha pete bibi Veronica Stima wakati walipomeremeta kanisani hapo na kufuatiwa na mnuso wa nguvu katika ukumbi wa chuo cha Utumishi wa Umma Uhazili, Tabora.
Bibi Veronica Stima akimvalisha pete mumewe Allen.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...