Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Regnald Mengi akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wahariri Developmeny Saccos katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam (Picha zote na Joseph Senga)
Baadhi ya Wanachama wa Saccos hiyo
Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri, Absalom Kibanda akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Saccos hiyo
Mwenyekiti wa Muda wa Wahariri Development Saccos, Daniel Chongolo akionesha nyaraka za usajili wa Chama cha Kukopa na Kuweka (SACCOS) wakati wa uzinduzi wa Saccos hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Regnald Mengi (kushoto), akimkabidhi nyaraka za usajili wa Chama cha Kukopa na Kuweka (SACCOS), Mwenyekiti wa Muda wa Wahariri Development Saccos, Daniel Chongolo, mara baada ya kuzindiu saccos hiyo, kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Jukwa la Wahariri, Absalom Kibanda.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...