Mshauri Muelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi,Dr. Huba  Nguluma akitoa maelezo kuhusu mradi wa ujenzi unaoendelea wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililoko Sokoine Drive kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF.
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Mbuyuni jijini Dar es Salaam.  Mradi wa nyumba hizi una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa


  1. Kwa kweli siwaelewi kabisa wajenzi wa nyumba nyingi kama hizi zenye msambao wa kiasi kikubwa hivyo! Jamani, mbona mantinki tu inatosha kuonyesha kwa mradi karma huu unakuwa expensive, na hata bei ya kuishi kijiji kama hicho ni kubwa! Nafasi na muda hautoshi. All I can say, this kind of provision of housing is not to anyone's benefit in the long run:-(

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...