Mhe. Mathias Chikawe (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria (kushoto) akitembelea  majengo mapya ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania) yaliyoko katika kiwanja Na 2005/2/1, Sinza, Barabara ya Sam Nujoma/Barabara ya Mpakani. Kushoto kwakke ni Mkuu wa Taasisi Hiyo Mheshimiwa Judge Dkt. Gerald Ndika.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...