Mshambuliaji Machachari wa timu ya Yanga,Said Bahanuz akichuana vikali na mlinzi wa kati wa timu ya Tanzania Prisons ya Jijini Mbeya,Peter Michael wakati wa Mchezo wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Sokoine,jijini Mbeya.katika mchezo huo wa leo,hakuna timu yeyote iliyofanikiwa  kuzifumalia nyavu za mwingine na kufanya matokeo kuwa 0-0.timu ya Yanga ni moja ya timu zinazodhaminiwa ni Bia wa Kilimanjaro Premium Lager.
 Mlinzi wa timu ya Tanzania Prison ya Jijini Mbeya,Lugano Mwangama akiwania mpira na kiungo wa Yanga,Haroun Niyonzima wakati wa Mchezo wa ligi kuu ya Soka Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Sokoine,jijini Mbeya.
 Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Said Bahanuz akitakata katikati ya walinzi wa timu ya Prisons ya Mbeya leo.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Uwanja uboreshwe,vumbi linatimka uwanjani?;Yanga vipi bwana mnatulet down,usajili 'wa kufa mtu' uendane na matokeo ya Uwanjani

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...