Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si mchezo!
ReplyDeleteBaada ya Swala ya Idd kwa Kanzu na Kibandiko kichwani, Kanzu kuchomekea ama kuikunja na kuiweka kibindoni na Kibandiko kukikunja kama chapati na kukiweka mfuko wa nyuma wa suruali moja kwa moja hadi kiti kirefu nyuma ya HILO HAPO JUU LI-CHUPA !!!
Duhhh Ankali sisi tunaokunywa Gongo la matambara ya deki na kuchachuliwa kwa jiki au maji ya betrii za magari huku Kigogo Mbuyuni unatutia uroho miudenda inatu dondoka kwa lichupa hilo la Wisiki!
ReplyDeleteAhhh jamani asubuhi hii hata hela ya Idi hatujapewa kwa kupiga mizinga mnaturushia starehe hewani kama haya maji ndani ya kibuyu hicho?
ReplyDeleteArghhhh tunatiana machungu sasa hapa!
ReplyDeleteAhhhh mie mabata ushungu walahi!
Wengine Iddi imetufikia tukiwa tume chacha na hata ndururu moja mifukoni hatuna, tupo nyumbani na salio la mega boksi za intaneti tunajiliwaza ktk Laputopu na machungu tena mnatuwekea uhondo wa maji ndani ya chupa?
Fri Oct 26, 11:38:00 AM 2012 Mdau wa kwanza!
ReplyDeleteAhhahaha unanichekesha.
Pembeni ya lichupa ni sahani ya finyango mbili tatu za nyama choma!
Uumini kazi hasa, baada ya Swala breki ya kwanza Baa!
Kweli muhusika aliswali kwa utulivu kama mawazo yake hayakuwa yametangulia tayari Baa wakati akiwa bado yupo nyumba ya ibada na ktk ibada?