 |
| Mhitimu wa Shahada ya CPA ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu ( NBAA) , Gloria Joel Bendera , akipongezwa kwa kuoena mikono na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha , Janet Mbene , baada ya kkumtunuku Shahada yake wakati wa Sherehe ya Mahafali ya 34 ya Bodi hiyo yaliyofanyika Oktoba 6, 2012 kwenye viwanja vya Mhasibu , Barabara ya Biti Titi Momamed, Dar es Salaam. |
 |
| Baadhi ya wahitimu wa mahafali ya 34 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu ( NBAA) wakifurahia jambo wakati wa mazungunzo yao baada ya kutunikiwa Shahada ya CPA, Oktoba 6, mwaka huu na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha , Janet Mbene ( hayupo pichani) katika viwanja vya Mhasibu , Barabara ya Biti Titi Momamed, Dar es Salaam , Naibu Waziri huyo pia aliwatunukia wahitimu wengie vyeti . |
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kati kati ) na Mkewe mama Bendera akiwa katika picha na mtoto wao, Gloria Bendera , baada ya kutunikiwa Shahada ya CPA , Oktoba 6, 2012 wakati wa mahafali ya 34 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu ( NBAA) ,Mgeni rasmi alikuwa ni Naibu Waziri wa Fedha , Janet Mbene ( hayupo pichani) kwenye viwanja vya Mhasibu , Barabara ya Biti Titi Momamed, Dar es Salaam. |
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wapili kutoka kulia) akiwa katika picha na baadhi ya wahitimu wa mahafali ya 34 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu ( NBAA) wakiwa mtoto wake , Gloria Bendera ( watatu kulia mwenye mkoba mkononi) baada ya kutunukiwa Shahada na Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha , Janet Mbene ( hayupo pichani) Oktoba 6, 2012 katika viwanja vya Mhasibu , Barabara ya Biti Titi Momamed, Dar es Salaam.
wadau wakifurahia Nondozzz zao. Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro
mahafali haya alikuwa ni Glory Bendera pekee yake?
ReplyDelete