Flora na mlinzi wake kabla ya kuelekea kwenye onesho lake huko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako yeye na mumewe Emmanuel walivunja rekodi kwa wingi wa watu kwa shoo ya nyimbo za injili nchini humo.
Flora Mbasha akiwasili eneo la tukio na mlinzi wake
Nyomi ikimsubiri Flora Mbasha
Nyomi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Show ya muziki wa Injiri inapewa Ulinzi wa Bunduki kali za kivita??
ReplyDeletemmh!!.. Congo kulikoni??
Ukistaajabu ya Musa......mlinzi anaacha shughuli yake anaingia ktk sebene! hiyo ndio DRC!!
ReplyDeletemmh mbona kama kwetu Manzese tu, nina uhakika hata angeenda manzese nyomi ingekuwa kubwa zaidi. natambua kuwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili anahudumia popote ila kwa status aliyofikia sikutarajia kama angesimama kuimbia vichochoroni tena nchi nyingine, kama ni huduma ya vichochoro kwa vichochoro aanzie hapa kwetu manzese basi hata sisi tunaitaka hiyo huduma
ReplyDeleteGUU GUU FLORA, HAPO NAKUPA 100%
ReplyDeletehuyo mlinzi akitua dar wenyewe hayo magwanda wanamvua
ReplyDeleteMDAU ULIEANDIKA PARAGRAPH HIYO CHINI, KUMBUKA HII NI INJILI SI BONGOFLEVA HAIBAGUI MTU KUTOKANA NA ENEO ANALOTOKA HATA KAMA SPACE IMEPATIKANA KWENYE DAMPO INAPIGWA BILA SHIDA TU INJILI
ReplyDeletemmh mbona kama kwetu Manzese tu, nina uhakika hata angeenda manzese nyomi ingekuwa kubwa zaidi. natambua kuwa ni mwimbaji wa nyimbo za injili anahudumia popote ila kwa status aliyofikia sikutarajia kama angesimama kuimbia vichochoroni tena nchi nyingine, kama ni huduma ya vichochoro kwa vichochoro aanzie hapa kwetu manzese basi hata sisi tunaitaka hiyo huduma
Mh Florah,
ReplyDeleteUNAPELEKA KWELI NENO KWA WANAKONDOO WALIOLIKOSA,LAKINI,MWE,UANGALIE NA USALAMA WAKO.HUKO DRC UMEPEWA ULINZI WA BUNDUKI LAKINI ASKARI WENYEWE HAWANA MAADILI!ALIPOKUWA ANACHEZA VIFAA HATARI ALIACHA WAPI?MH!MWILI UMENISISIMKA,HATARIII1