Mdau wa Blog ya jamii kutoka Helsinki Finland,Frateline Kashaga (pili kushoto) akiwa katika ibada ya ndoa na Mai Waifu wake Maria Nimrod Mkemwa iliyofanyika hivi karibu katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph,jijini Dar es Salaam.Wengine ni Wapambe wao katika Ndoa yao hiyo.
Maharusi wakitoka Kanisani baada ya kukamilika kwa Ibada ya Ndoa.
Maharusi katika Picha ya Pamoja na Ndugu,jamaa na Marafiki nje ya Kanisa.
Bi Harusi, Maria Nimrod Mkemwa akiwa katika tabazamu zito baada ya Ndoa.
Pozz la beach.
Maharusi wakiwa na Wazazi wao.
Maharusi na Wapambe wao.



Harusi imependeza sana. Tunawatakia maisha mema ya ndoa.
ReplyDelete