Ankal na kikosi kazi chote cha Globu ya Jamii kilichotapakaa nchini kote na nje ya nchi wanakutakia mdau wao Idd el Hajj njema, wakikuomba usherehekee Sikukuu hii Tukufu kwa furaha, upendo na amani.
-ANKAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal Michu hapo umenena mzee....waambie hao furaha, upendo na amani ndiyo hekima kubwa ya binadamu aliyozawadiwa na mwenyezi MUNGU....Anina Ankal

    ReplyDelete
  2. Inshallah Aminaaaa tunazipokea kwa mikono miwili Salaamu za Iddi kutoka kwenu!

    Mbona umewatenga na umesahau kuwataja kikosini Bi.Salha Muhidin Michuzi na Bi.Mamou Muhidin Michuzi na Mama yao kama Wadau wa Kikosi cha Globu pia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...