Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Sunday Hongera sana, Hii ni Babu kubwa!! Mdau Canada

    ReplyDelete


  2. Jamani napakumbuka sana nyumbani Tanzania kwa kuangalia harusi kama hizi nacheka sanaaaa watu wanaserebuka bila hata discipline
    sijui ukifanya huku itakuaje

    ReplyDelete


  3. Bi harusi ange vaa decent kidogo
    yaani mabega nje nje mpaka raha yaani nauhakika kama ni ndo ya kanisani haku vaa hvyo kanisani

    ReplyDelete
  4. Shomari na mwenzio nawapaongeza mlivyoyarudi mayenu. Nadhani ni sahihi kwani siku yenu kubwa. Binafsi nilipatwa na utata kucheza kwa nguvu kweney wedding yangu, kwani sikuju kama itakuwa noma au la, lakini nilivyoona ngoma za kihaya zinapigwa, nilitamanai niingie niruke(jiachie) bila kujali, ila nikabana. naona wenzangu hamjabana kabisa..hongereni sana na Mungu awape maisha mema.

    Omuburi

    ReplyDelete
  5. Hongera pacha/mdogo wa Netiwe kwa kupanda altareni..wish u get fruit of the womb as soon as God wishes..Netiwe how r u?miaka mingi jamani umenenepa..Chacha Maginga nae ni part of the family ya kina Mhando?

    ReplyDelete
  6. mie napenda ua na shela zikiwekwa pembeni wakati wa reception, hii imekuwa style sana sasa.

    Nimeziona hapo Dar pia, hongereni.

    ReplyDelete
  7. Hongereni sana Mr.and Mrs.

    ReplyDelete
  8. All the Best ndugu yetu Sunday Shomari na Shemeji yetu Eliminita Muhando !

    Mwenyezi atawabariki ktk maisha yenu!!!

    ReplyDelete
  9. ILIPENDEZA SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...