Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala  Mhe. Jerry Silaa (pichani) ameibuka Kidedea na kuvunja rekodi ya Mwaka baada ya kutetea nafasi yake ya Ujumbe wa NEC kupitia UVCCM kwa kupata kura 501 ambazo ni nyingi kuliko hata Mwenyekiti katika chaguzi zilizofanyika mjini Dodoma. Na Mdau Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa hongera sana ila sasa wasaidie viongozi wenzako umoja wa vijana uwe wa mafanikio ya kweli na si kutumia na vigogo wachache

    ReplyDelete
  2. Hongera Mhe. Mstahiki Meya Silaa!

    Hiki Kizazi cha Viongozi vijana kinatakiwa kilete na kuakisi mabadiliko ya tija ktk Chama, KAZI KWENU !

    ReplyDelete
  3. Huyu kijana Jerry Silaa; kichwa kinachemka, nidhamu anayo na uchapa kazi hana mfano wa kumzidi. Mungu akulinde na akujaze hakima zaidi na zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...