Dr. Cyril Chami akisalimia wananchi wa Kilema ya Kusini wakati wa uzinduzi wa kampeni za kiti cha udiwani.
Wanachama na wapenzi wa CCM wakijumuika pamoja wakati wa utambulisho wa mgombea wa kiti cha udiwani kwa tiketi ya CCM.
 Nape Nnauye ,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,akimtambulisha Temu Peter Ernest kwa wana Kilema ya Kusini.
Aggrey Marealle, mjumbe wa NEC Moshi mjini akiwaambia wana kilema ya kusini waunganishe nguvu kwa ajili ya maendeleo yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...