Home
Unlabelled
Kibonzo cha Kijast Bikozz leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uafiti au ulaji wa fedha ya mfadhili?
ReplyDeleteKweli tupu, hongera kwa kuliona hilo ila nadhani wahusika bado wamelala na tunadidimia kweli kweli.
ReplyDeleteHapa umenena...kama kawaida yetu sisi masikini...lakini kumbe ni masikini wa mawazo tafiti kibao lakini hazifanyiwi kazi zinaozea library! Badala ya kujiuliza hizi tafiti zinasema nini...na bado tutaendelea kufanya tafiti nyingi zaidi na zaidi utekelezaji kushnehi...maana tafiti nazo ni moja ya vigezo vya kupata senti lakini inapofika kwenye kuzitumia kila mtu anatia mikono kwenye mifuko ya suruali
ReplyDelete