KATHERINE LAWRENCE SAGUTI 
22.09.1936 - 04.10.2009 

Mpendwa Katherine. ilikuwa dakika, siku,miezi, Mwaka,na sasa imetimia miaka mitatu, tangu ulipotutoka kimwili, ukituachia huzuni na upweke usiobebeka. 

Lakini tunaendelea kufarijika kwa imani kwamba, BABA MUNGU amekupunzisha mahali pema ambapo tutakutana nawe. Unakumbukwa sana na Mimi Mumeo Mpendwa Lawrence , Watoto wako , Wakwezako, Wajukuu zako, Ndugu , Jamaa , Marafiki na jirani zako. 

Neno; Zab.23

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani Mama yangu... Mungu na aendelee kukupumzisha mpaka pale tutakapokutana tena. Najua tayari uko na rafiki yako mkimtukuza Mungu kwa nyimbo za kumsifu kama vile mlivyokuwa mkifanya pale Azania Front, sauti ya kwanza!!! Mwanao Elly Njau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...