Kipa Mohamed Yussuf wa timu ya Chuoni akiokoa moja ya hatari kutoka timu ya Mafunzo jana kwenye uwanja wa Amaan ikiwa ni mwendelezo wa michezo ya ligi kuu ya soka ya grandmalt.
Chuoni iliihenyesha Mafunzo mabao 3-0. Picha na Martin Kabemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...