Kiungo Machachari wa Timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akijaribu kutaka kumtoka,Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
 Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Said Bahanuzi akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
 Nizar Khalfan wa Yanga akiondoka na mpira.
Beki wa Simba akiondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni mwa timu yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inakuwaje kila siku Yanga inafungwa na Simba?

    ReplyDelete
  2. Mtoa comment no 1 uwe na busara kidogo. Hilo hupaswi kufundishwa darasani ila kutumia akili tu. Hapa Blog ya jamii ilikuwa inatoa progress report na sio final report. Mpira ni dkk 90. Ungepaswa uongelee ushindi baada ya muda huo. Hapo sitakudai hata hela ya tuitition kwa kukupa shule hiyo ndogo. Hata mwanao mdogo angeweza kukusaidia

    ReplyDelete
  3. Simba walikuwa wanatoatoa ovyo mipira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...