Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii ni changamoto kubwa kwa Mataifa Masikini:

    Tofauti ya Mafungu ya matumizi kati ya nchi Masikini na Nchi zilizoendelea:

    ZILIZOENDELEA:
    -Afya
    -Makazi na malazi
    -Elimu
    -Utafiti


    MASIKINI:
    -Majeshi
    -Siasa
    -Semina na Makongamano
    -Ufuatiliaji wa makosa unaotumia gharama wakati makosa yameshaleta gharama (MFANO UUNDAJI WA TUME ZA UCHUNGUZI BAADA YA MAMBO KWENDA NDIVYO SIVYO)

    Kwa mtindo huo ni wazi Tajiri ataimarika na kupata Ukuaji wakati Masikini atazidi kuzama ktk ufukara!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...