Na Nafisa Madai 

Wafanyakazi wa kiwanja cha ndege Pemba wamesema mapatao yanayopatika kiwanjani hapo hayakidhi mahitaji ya kiwanja hivyo serikali kupitia wizara husika wanahitaji kutupia macho na nguvu zao kiwanjani hapo. 

Wamesema hayo wakati walipotembelea na waziri wa miundombinu na mawasiliano Mhe Rashid Seif ambapo wamesema kwa vile sasa wanatakiwa kubadilika kiutendaji tokea kuundwa kuwa mamlaka kamili serikali haina budi kuelekeza nguvu zao kiwanjani hapo ili kukifanya kiwanja hicho kuwa na hadhi na haiba nzuri kwa wenyeji na wageni wanaotumia kiwanja hicho. 

Aidha wamesema mpaka saivi bado hawajaona mabadiliko yoyote tokea kundwa mamlaka Jambo ambalo limekua likirudisha nyuma ufanisi wa kazi zao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kuna bendera mbili hapo moja nimeishaifahamu hiyo nyingine JE?

    ReplyDelete
  2. Hiyo bendera ambayo hujaifahamu ndiyo chanzo cha matatizo yote haya ya kiwanja chetu pamoja na wafanyakazi wake laiti ingelikuwa tuna bendera moja tu hapo yasingelitufika maudhi haya lakini inshallah kuna siku M.Mungu atajaalia siku itafika itapepea bendera moja tu hapo.GOD BLESS ZANZIBAR.

    ReplyDelete
  3. Kule Shimoni Mombasa mlikokimbilia mngebaki kuko huko ndio maana hamjui kutawaliwa na mwaarabu ni utumwa.

    ReplyDelete
  4. 01,54,00 Nakubaliana na wewe ila usijali zanzibar itakuwa huru yatapita mengi mabaya ila iko siku kwa uwezo wa mungu tutajikomboa tu

    na yeyote asieitakia zanzibar mema mwenyezi mungu atamlaani hapa hapa duniani ataadhirika amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...