Dk. Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu wa Tanzania akilakiwa na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili katika uwanh=ja wa ndege wa Kimataifa wa Dulles Washington DC. Aliembatana na Mhe.Kawambwa ni Kamishana wa Elimu katika Wizara ya Elimu Profesa Eaustelia Bhalalusesa.
Bw, Suleima Suleiman Saleh akisaliamiana na Profesa Eaustelia Bhalalusesa baada ya kutambulishwa nae na Mhe.Dk.Shukuru Kawambwa.
Waziri wa Elimu wa Tanzania Mhe. Dr. Shukuru Kawambwa(Mb.) awasili Washington DC kuhudhuria mkutano na viongozi wa Benki ya Dunia kujadili masuala mbali mbali ya kuboresha sekta ya Elimu nchini Tanzania.
kutoka kushoto ni Profesa Eaustelia Bhalalusesa, Dk. Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu wa Tanzania na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...