Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mitandao minne,kukata kucha hutaki unabakia kuzing`ata kwa meno.

    ReplyDelete

  2. Vipi kuhusu chaji, hebu tueleweshane... mitandao 4 nguvu ya ziada inahitajika

    ReplyDelete
  3. I love China!

    ReplyDelete
  4. radio rays trasmission ratio inakuwaje vichwa vitawaumaaaaaa kila siku lakini mtadhani mmerogwa

    ReplyDelete
  5. What about quality! Taifa lijiandae na ugonjwa wa cancer miaka 5 ijayo! Hongera mchina kwa kuendelea kutumaliza, kila kitu fake fake fake! Zamani hatukuwa na matatizo haya! Sasa mpaka ARV fake, ni wao tu! Hawana utu kabisa!

    ReplyDelete
  6. Mbona wamesahau TTCL?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...