Salaam kaka Michuzi,
Namtafuta ndugu yangu Ezekiel Joseph Shijja tuliachana OLD MOSHI SEC miaka ya 1996. Tafadhali tuwasiliane kwa email fgeuzye@yahoo.com
kuna jambo la kumshirikisha ambalo ni muhimu sana tangu tulipopotezana.
Au kama kuna mtu anajua alipo tafadhali tuwasiliane kwa address hiyo.
Liz


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...