Rais mstaafu wa Tanznia Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kikundi cha Upendo cha Ubeligiji na Mh. Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Kamala
Raisi mstaafu wa Tanzania Mh. Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na familia ya balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr Kamala
Baadhi ya viongozi wa Jumuyia ya watazania Ubeligiji na Uholanzi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais msatafu wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa pamoja na balozi wa Tanzania Ubelgiji Mh. Dr Kamala.






DIO umekuwa bonge kweli.(Ankal,namuheshimu sana Doctor lakini tulizoea kumuita hivyo sekondari,atafurahi kusikia hili jina-weka protocol pembeni kwanza!!).Tuwasiliane mkuu,ni mimi mwanachama mwenzio wa T.Y.S 'Bukoba Seko'1987-1988.Tuwasiliane hapa Doctor- fridokazadi@gmail.com unipe maisha aise.Si mchezo.
ReplyDeleteDKT Kamala ni mpiganaji mwema sana. Atakumbukwa akiwa Mbunge wa Misenyi na Waziri aliyetumikia kwa uwezo wake wote dhamana ya Afrika Mashariki. Jumuiya imeona pengo lake lisilozibika. 6 anajitahidi lakini kamwe hamfikii Diodorous Buberwa Kamala P. Kiongozi aliyeshinda nafasi zote za uongozi shuleni akagawa nyengine; na moja alimpatia naliendele
ReplyDelete