Tungependa kuwatangazia rasmi kufunguliwa kwa Studio mpya ya producer wa muziki anayejulikana kama Lucci (luchi) aka @luccidadon (Luciano Tsere). Lucci anajulikana zaidi kwa ngoma zake kali ambazo amemtengenezea msanii anayejulikana kwa jina la CP ama Cpwaa! Ngoma kama Problem, So Pwaa, Hhmm, na nyingi zingine. 

Studio inapatikana maeneo ya Mbezi beach, Kilongawima Studio hii hufanya shughuli zifuatazo: -Matangazo ya radio ya kila aina. -nyimbo za kila aina; kuanzia bongo flava, Zouk, Crank, Hip Hop, Gospel, RnB, Taarab na kila aina ya muziki. -kuingiza na ku-mix sauti kwa ajili ya documentary. 

 Wasanii katika label kwa sasa ni Ben Pol na Lucci mwenyewe. Studio hii kwa sasa inapokea watayarishaji wa muziki yani Producers, waimbaji, wataalam ufundi wa muziki na waandishi. Kwa huduma, kufanya bookings na habari zaidi: 
barua pepe/ Email: transformax.records@gmail.com 
 Follow on Twitter: @TransforMaX_R na @luccidadon 
 Client Service Manager: +255767109390 
Its time to Transform Tanzanian music to the MaXimum! 
 Karibuni wote.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...