Meneja wa Kinywaji cha Redds Original,Victoria Kimaro akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza zawadi ya Mshindi wa Taji la Reddd's Miss Tanzania 2012. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania,Bosco Majaliwa.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza zawadi za Mshindi wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...