Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb) akieleza dhamira ya Serikali ya kuzijengea uwezo Wizara na Idara zake zinazohusika moja kwa moja na utekelezaji wa Sera ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) wakati alipofungua mafunzo ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi leo Mjini, Morogoro, Wa kwanza Kulia ni Mtaalamu wa masuala ya PPP kutoka Taasisi ya IP3 nchini Marekani, Bw. Jackues Cook na wapili ni Kamishina wa PPP- Wizara ya Fedha Bw. Frank Mhilu na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. John Mboya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (Mb) (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki kutoka katika Sekta ya Umma na Binafsi mara baada ya kufungua mafunzo ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi leo Mjini, Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...