Rappa wa Skylight Band SONY MASAMBA akikonga nyoyo za mashabiki wa bendi hiyo ambao wanapata flava za muziki wa kila aina kuanzia Dancehall, Reggae, R & B,  Azonto, Sebene na nyinginezo bila kusahau Kwaito kwenye kiota chao cha Thai Village, Oysterbay, jijini Dar es salaam  kila Ijumaa.Kushoto ni Rappa mwenzake Joniko Flower.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...