Home
Unlabelled
TAARIFA KWA UMMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KWA KUWA KUMEKUWA NA TAARIFA NYINGI TATA KUHUSU SUALA HILI NA PIA SIO WOTE TUNAOSOMA LEO HAPA MICHUZI WANAFAHAMU TANGAZO LENU LA MWEZI AGOSTI LILISEMA VIPI NA PIA SIO WOTE TUNAFAHAMU AZIMIO LA BUNGE LILISEMA NINI NINI? NI VYEMA SSRA MTOE TAARIFA KAMILIFU NA ZINAZOELEWEKA WA WADAU WOTE, JE KWA SASA INAKUWAJE? NAOMBA MTOE TAARIFA RASMI JE (1) MAFAO YA KUJITOA YANAENDELEA; AU
ReplyDelete(2) MAFAO YA KUJITOA YANAENDELEA?
MDAU JOE DAR
Mbona Tangazo liko shallow sana? Kwa hiyo ndiyo kusema fao la kujitoa limerejeshwa au? Mbona tangazo lenu la August lilikuwa detailed sana kuliko hili la sasa? Au hamkupenda sheria irudishwe bungeni?
ReplyDeleteSSRA nanyie mnachangia sana watu kuichukia serikali yao. Nani aliwatumeni kuayaanza haya mabadiliko bila ridhaa ya wachangiaji? mnapata wapi mamlaka ya kuamua juu ya jasho la mtu binafsi. Life expectancy ya Mtanzania ni miaka mingapi? na nyie mnapendekeza mtu kuchukua mafao yake akiwa na miaka mingapi... Tunaipeleka wapi nchi hii. Kila mtu anamua analotaka!! hii ni hatari!!
ReplyDeleteFelix Mtwara
Naunga mkono hoja ya mdau hapo juu. Ni vyemaa SSRA mkatoa maelezo timilifuuu. Sio hiki mlichotoaaa.
ReplyDeleteTwawashukuru Wadau(especially Wabunge) na woote waliosimama kidete kuhakikisha tangazo la awali lasitishwa kwani halikua na maslahi kwa mfanyakaziii/wadau wa mifuko hiyoo.
Na ili liwe fundisho kwa Mamlaka/taasisi zoote zisikurupuke kutoa maamuzi ambayo hayana tija kwa jamiii/wanaowatumikiaaa.
Barua hii inakitu inaficha; kwanza hakuna jina la aliyesaini, pili sheria ya hifadhi za jamii iliyotajwa kwa nini hatuambiwi inasemaje, mwisho kwa jinsi suala hili lilivyo nyeti, tungetarajia ufafanuzi wa kutosha sio para moja fupi kama hii.
ReplyDeleteVigeugeu wote, serikali na hao ssra. hii siyo mara ya kwanza. walianza kubadili kwenye magari ya zaidi ya miaka 8 yalipiwe uchakavu. ghafla wakagundua wamechemsha. na bado they will never be serious.
ReplyDelete