Spika wa Bunge la India Mhe. Meira Kumar akimkaribisha mgeni wake, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Makinda kwenye chumba maalum kwa ajili ya mazunguzo kuhusu ushirikiano wa nchi mbili hizi .
Mhe. Makinda akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku akiongozwa na mwenyeji wake, Mhe. Kumar.
Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya kina kuhusu mahusiano ya Tanzania na India, wakati ujumbe huo ukimsikiliza Spika wa Bunge la India.
Pokea zawadi kutoka Tanzania… ndivyo Spika Makinda anavyomwambia mwenyeji wake.
Baada ya mkutano wa Saba wa Maspika wa Bunge wanawake kumalizika, viongozi hao kwa pamoja walikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza yaliyojiri.
Kwaheri na karibu Tanzania
Ujumbe wa Tanzania na ule wa india katika picha ya pamoja. Picha na Prosper Minja-Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hivi zawadi huwa anapewa mwenyeji au mgeni? naomba nijuzwe kidogo......maana naona kila siku wgeni wetu wa kimataifa hapa wanapoondoka hupewa zawadi. na tunapokwenda ughaibuni, wenyeji wetu tunawapa zawadi,. imekaaje hii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...