Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akibadilishana hati ya mkopo wa shilingi bilioni 280 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Benki ya Exim ya India Geeta Poojary (katikati) leo jijini Dar es salaam kwa ajili ya kusaidia usambzaji wa maji mji wa Chalinze na Jiji la Dar es salaam. Kulia ni Balozi wa India Debnath Shaw.
Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waaandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mara baada ya india kupitia Benki ya Exim kuikopesha Tanzaniashilingi bilioni 280 kwa ajili kusaidia kusambza maji katika Jiji la dare s salaam na mji wa Chalinze. Kulia ni Meneja Mkuu wa Benki ya Exim ya India Geeta Poojary.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kila siku mnapewa mikopo kila siku na wao wanachukua rasilimali zetu nakwambia ndo maana nchi za africa haziendelei watu hawajasoma utawala na kama wamesoma basi wanajinufaisha vitambi vyao na familia zao ujinga ujinga kila siku

    mdau washingtona d.c

    ReplyDelete
  2. nilijua hutoweka comment yangu fisadi na wewe pia michuzi wa nchi hii yetu

    ReplyDelete
  3. Hivi ninyi waandishi wa hizi habari, lini mtaanza kuandika habari zilizo kamilika? Kwa mfano; Huu mkopo una riba au lah? Unatakiwa kuanza kurudishwa lini na kwa kiasi gani? Serikali inatarajia kutoa wapi pesa za kulipia hili deni? Je kama tukishindwa kulipa, mkataba unasemaje? Kwa nini mkopo unapitia Exim bank ambayo nadhani ni benki binafsi? Nimechokaaaa na ninyi waandishi mpaka yani basi, maana vitu mnavyo andika siku hizi havina nukuu wala havielezi vilianzia wapi na wala vinaelekea wapi... Halafu grammar,spelling na sentence structure tuongelee siku nyingine... :)

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi hivi hawa waandaji wa hii bendera yetu kwa nini mara nyingi wanaiweka kichwa chini mihuu juu!!!!!!??????

    ReplyDelete
  5. hapa kama riba itakuwepo hakika serikali itakuja kudaiwa zaidi ya billion 400,wakati mwingine naona ni bora kuvumilia shida tuliyokuwa nayo tukitafuta namna nyingine ya kuitatua kuliko kuchukua mkopo mkubwa kiasi hiki.

    ReplyDelete
  6. Kabla ya yote hiyo bendera ya si tanzania kwani upande wa bluu huwa chini, labda kama una maana nji imepindiliwa.
    Je wapi naweza pata kozi ya uwaziri wa fedha ili nitoe comments zenye mantiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...