Wakala wa Vipimo ni taasisi chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na kazi yake kuu ni kuhakikisha kuwa vipimo vyote vinavyotumika katika biashara ni sahihi. Maonesho hayo ni kuanzia tarehe 29/10/2012 hadi tarehe 4/11/2012 katika viwanja vya Mnazi mmoja.

Wananchi wakipata elimu ya vipimo


Waandishi wa habari wakiuliza maswali kuhusiana na majukumu ya Wakala wa vipimo  


Mgeni rasmi akiendelea kupata maelezo kuhusiana na majukumu ya Wakala wa Vipimo 


Afisa Vipimo Mkuu Bi. Zainabu Kafungo, akielezea majukumu ya Wakala wa Vipimo kwa Mgeni rasmi mama Tunu Pinda , mara alipotembelea banda la Wakala wa Vipimo wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...