Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimia na Miss Tanzania
2011,Salha Israel alieambatana na timu nzima ya Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 kwenye ziara ya kutembelea mikoa ya Kanda ya Kaskazini,wakati waliofika Nyumbani kwa
Waziri Mkuu Mstaafu,Monduli leo kumsalimia na kupata baraka zake kwenye mashindano hayo.Kuli ni Mkurugenzi wa Rino Agency na Muandaaji wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga na wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendelea kuzungumza na Warembo hao.
Mkurugenzi wa Rino Agency na Muandaaji wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga akifafanua jambo kwa Mh. Lowassa na Mama Regina Lowassa.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwa wamevalia mavazi ya Kimasai.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Tanzania 2012 pamoja na Viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZINGINE
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZINGINE







Kwanini,wakati wa mashindano,hawa warembo wasiwe wanavaa hili vazi badala ya vich*p*??
ReplyDeleteDavid V
mdau hapo juu unafikiri nani atawachagua ikiwa watajifunika hayo mashuka?
ReplyDeletewatu wanataka waone makalio na vikwapaz ndio wachague mrembo anaelipa.
Hongera!Hongera! warembo wote. Mambo na changamoto zote,lakini huwezi kuwacha na kupenda na jitihanda anao fanya Mh. Lowassa kwenye uongozi wake. Songa Mbele Mh. Lowassa. Viongozi wa kweli wano jali nchi hata kama wana makosa wana julikana tu.
ReplyDeleteInapendeza kuona mnaonana na Rais ajaye, this is the president ,Rais anatakiwa awe strong kama MH. LOWASA
ReplyDelete