Barrick yapewa tuzo na PPF -- Kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imepewa tuzo ya mwaka 2012 na mfuko wa pensheni wa PPF baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye sekta ya madini kwa ulipaji mzuri wa michango ya wafanyakazi kwa muda. Kwenye picha ni Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa ABG, Saimon Sanga, akiwa ameshika kikombe na cheti ambavyo ABG ilikabidhiwa na PPF hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...