Mkurugezi Mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania,Abasi Tarimba akisimamia uteketezaji wa mashine za kuchezesha bahati nasibu ambazo zimeingizwa nchini bila kufuata utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea nchini urusi ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu.mashine hizo zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania.Picha na Chris Mfinanga
Mashine hizo zikiteketezwa kwa kukanyagwa na Katapila.


Ni UONEVU usio na msingi.
ReplyDeleteKama ni faini angelipishwa na kupewa mashine zake aziondoe nchini au afuate utaratibu unaotakiwa.
Au jamaa aligoma kutoa KITU KIDOGO??