Bwana Yesu Asifiwe Sana !
Tunapenda kukukaribisha kwenye nafasi ya kipekee ya kujifunza chini ya watumishi wa Mungu Diana na Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.
Kama tangazo linavyoeleza,Semina itafanyika week-end ya Thanks-Giving Nov 23-25 kwenye Hilton Hotel.
Tafadhali usikose nafasi hii ya kipekee ya kujifunza,kukutana na marafiki toka States mbalimbali na kumwabudu Mungu wetu kwa pamoja !
Wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali wataombewa !
Vyakula , vinywaji na baby sitting services vitatolewa bure kwa watu wote !!!
Ubarikiwe,
Kamati ya Maandalizi.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...