Unapotaka kujiunga FFU ughaibuni,  lazima ulijue gwaride! Mkataa Jadi ni mtumwa ! Warabu Wamatumbi wakijipa mazoezi ya mdundo wa Bongo Tambarare Warabu wenye Asili ya Kimatumbi waliposikia uwendawazimu wa kamanda Ras Makunja wa FFU wa Ngoma Africa band lazima  ataingiza gwaride la FFU katika mwendo wa "Bongo Tambarare". Warabu hao wenye asili ya kimatumbi nao wameanza kufanya mazoezi ya gwaride, kwa msemo wa mkataa jadi ni mtumwa - Ras Makunja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa bwana hawalijui gwaride la Ras Makunja

    ReplyDelete
  2. Mbona midundo ya ngoma kama ya kikwetu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...