Home
Unlabelled
Haya tena Wadau: Mambo yangekuwa hivi kwa kina Dada,kungekuwa na nongwa kweli??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yaaani!!! furaha tele, mwanamke wa shoka, big darini(up) dada!!
ReplyDeleteMwanaume huyo bwege!!
ReplyDeletekasheshe tupu! Huyo dada inaelekea walimkwepa cku nyingi. Jamaa alivyojikoki tuu kosa! Imekula kwake... Naye aache kuvizia mademu hovyo hovyo!!!
ReplyDeleteHuyo Demu yupo ki timu ya Mauzo, hapo hakuna nini wala nini!
ReplyDeleteIli kuivuta fedha ya huyo Bwege kirahisi demu anatumia mbinu ya 'big sound' yaani sauti kubwa na mkwara mwingi, kumbe ndio kwanza anataka!
ReplyDeleteKama alikuwa hataki kwa nini achukue namba ya simu ya jamaa?
Usibipu...wewe ukipiga watu wanapiga!!! Hahahahaha Raha jipe mwenyewe!
ReplyDeleteWaganda utawajua tu,na hasa ndivyo walivyo japo hii ni acting.
ReplyDelete