Mwanamuziki nguli wa dansi Barani Afrika, JB Mpiana (mwenye kofia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia onyesho lake litakalofanyika siku ya Ijumaa katika viwanja vya Leaders Club.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. JB mpiana miaka ya katikati alikua maarufu sana na nyimbo zake ndani ya bongoland.

    ReplyDelete
  2. Papa mukulu ndani ya jiji siwezi kosa hii. Ashante kwa dogo

    ReplyDelete
  3. Wabongo wamejanjaruka siku hizi, hawababaikii kabisa wakongo kama ilivyokuwa zamani, Bongo Fleva imeua soko la wakondo.

    ReplyDelete
  4. HAYA BWANA SISI TUNAWALILIA WASANII NYIE BURUDIKENI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...