Soko la wazi, Sio mnada, Gari lako unaliuza mwenyewe bila ya mtu wa kati, Hautozwi Commission ukiuza gari. Ingilia barabara ya Rose Garden karibu na saiti ya Dar Village.
HUDUMA NYINGINE ZITAKAZO PATIKANA SUNDAY BAAZAR
1. huduma ya chakula na kinywaji
2. Mafundi ambao watakagua na kutoa ushauri wa magari/pikipiki kwa malipo ya ziada
3.Ushauri kuhusu sheria, je kama gari/pikipiki imelipiwa vitu vyote vinavyohitajika kwa malipo ya ziada.
4.First Assurance watakuwepo kwa shughuli za Bima.
5. baadhi ya benki zitakuwepo kwa wale wataohitaji mikopo ya magari/pikipiki
6.Huduma za kifedha kupitia mitandao yote.
6. kutakuwa na michezo ya watoto.
Tunakaribisha na makampuni mengine ambayo yangependa kushirikiana nasi kwenye sunday bazaar.
Ikumbukwe kingilio ni kwa wauzaji wa magari tu na itategemea na aina ya gari yako na kwa wanunuzi kingilio ni bure!

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...