
Makamu Mwenyekiti Mteule wa CCM (Bara), Phili Mangula (kulia) akiungana na wanachama wengine kushangilia Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete alipoingia ukumbini wakati wa mkutano huo
Baadhi ya wajumbe ukumbini
wake wa viongozi
Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Watu waliokuwa nje ya ukumbi wakifuatilia kwenye banda maalum
Kusoma hotuba kamili ya Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete
Si fahamu mengi Kama hi ilikuwa agenda na ili kuwa siyo muhimu wa vingozi kuni sadia basi CCM nidyo imekosa. Nita rundi nyumbani kutumia institution za dini, msikiti wangu siyo tena serikali au chama. Uchawi ume kwisha. Tanzania songa mbele.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu hujaeleweka.
ReplyDeleteHongera karume naona leo kwa mara ya kwanza ametinga shati la kijani. Ila my wife wake naona hajatinga kijani. Unajua kijani inaonyesha msisitizo kwamba wewe ni kada wa ukweli.
Kila la kheri wana CCM.
Mdau Chole Samvula