Hawa ni Mgambo wa Jiji la Dar kipindi hicho kabla hawajaanza kuwaondoa Wamachinga maeneo ya Katikati ya Jiji.Wadau mnasemaje na pozz hilo???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Wajameni huu ushoga mwingine huu jamani!!! mweeee!!!

    ReplyDelete
  2. Uuuwwwiiiiiiiii....kwi...kwi...kwi.. au ndio katika harakati za kuficha virungu?

    ReplyDelete
  3. Laana za kutupa wali maharage za mama ntilie hizo, sasa wanajitukana wenyewe.

    ReplyDelete
  4. Wanakalia Kigogo kwa nyuma, mitaa ya mburahati!!!

    ReplyDelete
  5. kie kie kie kie.. wanakalia mpingo na story zinapanda

    ReplyDelete
  6. Jamani, mgambo gani hawa wanachoka kusimama?

    ReplyDelete
  7. Hapo ni kuonyesha wapo kamili saaana hata RUNGU HALIWEZI KUPENYA KTK 'DIFU' ZAO !

    ReplyDelete
  8. Isipokuwa wakae kwa tahadhari,

    Wakijisahau kidogo wakinogewa na maongezi asalaleeee watashitukia virungu vimezama!

    Mambo mengine tena ya kuwahishana Muhimbili virungu vikachomolewe huku suala la kunasiana watu wawili Temeke Hospitali likiwa halijapata jibu vile?

    ReplyDelete
  9. sasa vitanda vyao vitakuwaje!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...