Hiki ni kipita shoto kipya kabisa ambacho tayari kimezungushiwa utepe maalum,ili mgeni rasmi atakaepangwa kuja kuzindua afanye kukata tu kwa urahisi.Kipita shoto hiki kipo kwenye Barabara ya Umoja wa Mataifa,Upanga jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongereni tanirodi.

    ReplyDelete
  2. hii kitu haijapata mteja tu... ngoja nizichange nikamate mchuma..... nina 7M sasa, nadhani mambo yakikaa sawa tutaongea.

    Ignorant

    ReplyDelete
  3. Yaleyale ya matairi na majani.
    kazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...