Naibu Waziri Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maombi na Matendo ya Watoto. Pembeni kulia ni Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Bw. Jamal Gulaid

=======  =======  ======

Katika picha ni Maadhimisho ya Siku ya Maombi na Vitendo kwa Watoto Duniani ambapo Mhe.Naibu Waziri alikuwa mgeni Rasmi katika Maashimisho hayo yaliyofanyika katika Viwanja vya Kalimjee Jijini. 

Watoto kutoka  katika shule mbalimbali za Mkoa wa Dar es Salaam wameadhimisha kwa sala na maombi wakishirikana na wawakilishi kutoka katika madhehebu mbalimbali.Aidha kabla ya maadhimisho hayo watoto walipata nafasi ya kuhudhuria kongamano lilalohusu masuala ya watoto na hivyo kutoka na Maazimio ambayo wameyawasilisha leo kwa Serikali na wadau wa masuala ya Watoto.  

 Naibu Waziri Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na baadhi ya wanafunzi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Maombi na Matendo kwa Watoto
Wanafunzi wa shule ya Buguruni Viziwi wakionesha mchezo kuhusu Ukatili kwa Watoto.
 Naibu Waziri Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la UNICEF Tanzania . Bw. Jamal Gulaid katika picha ya pamoja na wawakilishi wa vilabu vya watoto wa shule za msingi kutoka shule mbalimbali na wageni waalikwa
Mmoja wa Watoto akionesha kipaji cha Sarakasi
 Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalmbali za Dar es Salaam wakishiriki Maadhimisho hayo.
 Naibu Waziri Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la UNICEF Tanzania . Bw. Jamal Gulaid katika picha ya pamoja na wawakilishi wa vilabu vya watoto wa shule za msingi kutoka shule mbalimbali na wageni waalikwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...