Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mhadhara wa 13 wa Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akitoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika Novemba 16, 2012 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha SUA, Alnoor Kassim, baada ya Makamu kutoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo Novemba 16 kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro,Novemba 16, 2012. Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. aise huyu Waziri wetu wazamani bwana Alnoor Kassam bado yupo, kweli bongo hatumthamini mtu tuko bize na kina anti ezekiel na diamond!!

    ReplyDelete
  2. Wakuua anaitwa AL-NOOR KASSUM na sio KASSAM au KASSIM kama Michuzi alivyoweka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...